Mchecheto kwenye kutongoza

Mchecheto kwenye kutongoza

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah.

Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu mjamaa anatongoza, na sasa sijui akikubaliwa atatatembeaje na mguu wa tatu umesimama namna ile, network iko 7G...

Si mtafute mahali tulivu mketi chini, muelezane shida, matatizo, na haja binafsi za mioyo na miili yenu vizuri bila mchecheto wala presha; na mtu yeyote asijue au asigundue mnazungumza nini :BASED:
 
Picha tafadhali
 
😂😂😂😂😂😂
Nimechaka sana daah dunia inamambo mengi sana hii mada ya Ajabu kuwahi kuona.
 
Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah.

Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu mjamaa anatongoza, na sasa sijui akikubaliwa atatatembeaje na mguu wa tatu umesimama namna ile, network iko 7G...

Si mtafute mahali tulivu mketi chini, muelezane shida, matatizo, na haja binafsi za mioyo na miili yenu vizuri bila mchecheto wala presha; na mtu yeyote asijue au asigundue mnazungumza nini :BASED:
Acha vijana watongoze vile wanaona inafaa
🤣

Ikiwezekana akapewe kibibi muda huo huo atakaomaliza
 
Back
Top Bottom