Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hello wapendwa katika Mungu,
Salamu nyingi sana toka mafichoni!
Tupindue mioyo kwa mabadiliko chanya. Kila jambo zamu zamu ni hatari sana sana. Narejea na huzuni kubwa kwa taswira mgawanyo katika taifa lenye historia nzuri.
Tanzania ya sasa kebehi kwa kebehi, kicheko kwa kicheko inafikirisha sana.
Dalili si njema sana. Je, yafaa malipizo? Je, yafaa kusamehe? Nani mwenye hivyo vyote mwendazake katika wazuri ameondoka na taswira njema?
Katika Maisha yetu kuna mimi, sisi, wao, wale, sote, nyinyi, wote, uwepo wa uwakilisho huu ni kielelezo cha ulazima wa kukubali kulinywa kombe lako wakati ukifika.
Watu ndivyo walivyo na Maisha ndivyo yalivyo.
Bado nipo.
Kichwamoto.