Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Tanzania hakuna wachekeshaji.
Wengi wanaigana wanarudia kile kile

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilikua namuangalia mpoki dstv anafanya stand up comedy jamaa kuchekesha hajui zaidi kutania watu maumbile yao mfano alianza kuwaongelea hovyo watu wenye meno ya sungura mpk ukimbi mzima baada ya kucheka wakawa wanamshangaa
 
Standup comedy inahitaji skills,talent na akili kubwa sana
Tanzania hatuna vipaji vingi vya standup..ukicompare na Kenya
 
Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure

Tabia ya kusiliba vya nyumbani haipendezi na wala sio ujanja.

Mnasema bongomovie waongo mko busy na wahindi,comics na scifi za wazungu.

Mnasiliba maigizo ya akina tiny mko busy na drama za kikorea.

Mnasema comedian wa bongo hawachekeshi kisa hawaongei kiingereza kama akina trevo noah.huu ni ulimbukeni wala sio dalili ya kuchanuka.
 
Kuna siku nilikua namuangalia mpoki dstv anafanya stand up comedy jamaa kuchekesha hajui zaidi kutania watu maumbile yao mfano alianza kuwaongelea hovyo watu wenye meno ya sungura mpk ukimbi mzima baada ya kucheka wakawa wanamshangaa
Ni brainless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…