Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kwenye barabara ya kuelekea Ikulu ya Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi.

Erick alidai kuwa alikuwa alizipeleka CV hizo Ikulu kwa Rais. Ikumbukwe Rais William Ruto hayupo nchini yupo ziarani Ujerumani.

Your browser is not able to display this video.

 
Ila kisiasa Wakenya wametuacha mbali sana pamoja na mapungufu yao Mengi

Omondi akamatwa akiwa amebeba rundo la CV kwenye mkokoteni akimpelekea Rais Ruto Ikulu

Kwa Tanzania Omondi ni Sawa na akina Joti, Masanja Mkandamizaji, Steve Nyerere, Mmawia nk

Ramadan kareem!
 
Omondi amejiunga na Azimio ?
 
Hiyo CV sidhani hata kama wanaifahamu, hawa bongo-wasanii.
 
Wasanii wa bonvo wanasubiri bahasha za kampeni...
 
Hivi unaamini kwamba alikuwa na rundo la CV za kweli? Yeye alizipataje? Waliomtumia, hata kama wanafika 50, walimtumia ili iweje?>
 
Polis walichokosea nkumkamata

Walipaswa kupokea CV na kuzpelek kwa president

Ukitak kuw kiongoz wa kenya lazma uwe na uhakika wakuboresh maisha ya wanakenya sio kam T**ia yetu hata iwe nn kimyaaaaaaa
 
Hizi CV hazikuwapo wakati wa Uhuru Kenyatta?...anadhihirisha tu hisia zake za ukabila kwa mbinu nyingine! Ingekuwa raila wa kabila lake ndiye rais sasa wala asingeonekana.
 
Hahaha hadi Mmawia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…