Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana.
Omondi alifika nje ya geti la Bunge la Kitaifa akiwa amepanda farasi, kuiga maafisa wa polisi waliokuwa wakipiga doria kati kati ya Jiji la Nairobi wakitumia farasi.
Ifahamike wazi kuwa maandamano makubwa dhidi ya Serikali yamepangwa kufanyika tena wiki kesho.
PIA, SOMA: