Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa na Polisi katika maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha 2024

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Your browser is not able to display this video.

Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana.

Omondi alifika nje ya geti la Bunge la Kitaifa akiwa amepanda farasi, kuiga maafisa wa polisi waliokuwa wakipiga doria kati kati ya Jiji la Nairobi wakitumia farasi.

Ifahamike wazi kuwa maandamano makubwa dhidi ya Serikali yamepangwa kufanyika tena wiki kesho.

PIA, SOMA:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…