TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

mwanamke hata kama unampenda vp...katu usimuoneshe wala kumwambia...maana Atakutesa sana na itakuwa sababu ya maangamio yako.

Pia jitahidi uwe na multiple options...usigande na mke mmoja , Oa wake wengi ili kuepuka kuzeeka kabla ya umri wako
 
🎵🎵🎶Mpende akupendae asiyekupenda achana nae🎵🎶
usi conclude kama wanawake wote wabaya,wema wapo ni vile haujakutana nao Tu!
Labda kuna mda nasemaga au kisa nilikataa kuchaguliwa mwanamke

Shangazi yangu alishaanza kunichagulia mwanamke kutoka mbeya
 
Ila pia kama tungeruhusu uchunguzi ufanyike maana ckuhz wakata riho ni wengi kama mtu anaweza safiri dar to dom halaf gafla anaumwa hata lisaa haliishi kafa nakumbuka kama vile yule Spika nae alikuja dar mzima karudi dom tu fasta kakata roho kwa hyo hii inanipa mashaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…