TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

Naona watu wanamlaumu mke wa marehemu bila kujua chanzo
Tangu wameachana, dada hajawahi kufunguka kitu chochote kuhusu ndoa yao
Unadhani marehemu alikuwa mkamilifu?
Kuna mengi sana huyu dada akiamua kuongea mtabaki midomo wazi. Hata kifo cha marehemu nacho ni utata mtupu, ni basi tu marehemu hasemwi vibaya wacha apumzike alipopaandaa
 
Tupende kwa kiasi
 
Uko sahihi
 

Kwanza mm binafsi namsifu sana Yule manzi, Alijitahidi kwa nafasi yake kumtunzia Heshima X wake.

Hamkuona kilicho tokea kwa Kusah? Angefanyiwa vile MC si angeanza kuokota makopo
 
Sorry, mtu mwenye sonona unamjuaje?
 
Duh mimi najuaga ni mwanamke
hapana ni shoga sema ana pgo za kike kuzd hata wanawake wenyewe uandsh wake lazma useme ni mwanamke ila ni ***** kama anabisha mfate dm muombe muonane uone. Na ujue mashoga wanapendaga sn waonekane kama wanawake na watambulike kama wanawake sema nature inawakataa hata wakiwekewa jinsi bandia bdo kuna pgo za kike hawaziwez znawakataa kbs.
 
Wanasema ameuawa
 
Apumzike kwa Amani mbele yetu nyuma yake, sote kwake tutarejea hatujui siku Wala saaπŸ™πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…