G
Mmh alikuwa anasali kwa Tony?Wachungaji wa kisasa ni tatizo na kwa sehemu wame ua ndoa ya huyu dogo. Huyo ex wife toka emekuwa mshirika wa Tony ... Dogo akazidi nyong'onyezwaa uki plus wana walimtupa... Dogo kafa na maumivu makali sana.. Leo imekuwa siku ya hovyo maana kipindi yupo na hicho kidemu mala kibao dogo alikuwa anakuja nako cinema pale twapiga story. dah inauma sanaa
Hiyo umeweka ya niniNi muhimu sana hata ukifa una miaka 30 uache legasi. Sasa unahendekeza uchawa unakuja kuacha legasi ya kejeli na machukizo kwa raia wenzako
Alihamia huko kwa Tony. Okay ndio ivyo mwamba kavuta waya wachungaji vijana kuna mambo wanapuuzi mie kuna kakijana kanaitwa Davidi Richard karafiki na kapola kanajiita kanabii mbona kameniharibia kabisa mke wangu, kidogo nipate hasira nikatumie wasio julikana wakafiireee, basi nikapata imani nikapotezea, kuna case kama tatu tayari ninaza kamevunja ndoa za watu kwa kufanya deceptions kwa wake na ma binti za watu, kuna kipindi naelewa kagame kufunga hizi huduma zinazojiibukiaMmh alikuwa anasali kwa Tony?
Anyway lkn sioni km P.Tony ana kosa hapa
Huyu ni mshirika wa Mtalemwa wa makongo juu pale ....
Kweli kabisa ndoa ilinishinda na sitaki kusikia hapa nikiwa na hamu ni kununua papuchi kwishnei..Ndoa imejaa ubinafsi
Mwanamke ukimuoa leo ata awe na kazi kwako ana kuja kama mtoto umlee mpaka uzeeni hana huruma juu ya maangaiko yako na hana heshima na pesa unayo mpa atakama una pambana hakuna siku mwanamke ata kwambia hongera au pole zaidi kila siku ata kupa malalamiko
Kweli mwanamke hana anacho kileta zaid ya mbususKweli kabisa ndoa ilinishinda na sitaki kusikia hapa nikiwa na hamu ni kununua papuchi kwishnei..
DuhAlihamia huko kwa Tony. Okay ndio ivyo mwamba kavuta waya wachungaji vijana kuna mambo wanapuuzi mie kuna kakijana kanaitwa Davidi Richard karafiki na kapola kanajiita kanabii mbona kameniharibia kabisa mke wangu, kidogo nipate hasira nikatumie wasio julikana wakafiireee, basi nikapata imani nikapotezea, kuna case kama tatu tayari ninaza kamevunja ndoa za watu kwa kufanya deceptions kwa wake na ma binti za watu, kuna kipindi naelewa kagame kufunga hizi huduma zinazojiibukia
Mkeo ndie mpumbavu na David ana ushawishi na nguvu kwa mkeo kukuzidi wewe,Alihamia huko kwa Tony. Okay ndio ivyo mwamba kavuta waya wachungaji vijana kuna mambo wanapuuzi mie kuna kakijana kanaitwa Davidi Richard karafiki na kapola kanajiita kanabii mbona kameniharibia kabisa mke wangu, kidogo nipate hasira nikatumie wasio julikana wakafiireee, basi nikapata imani nikapotezea, kuna case kama tatu tayari ninaza kamevunja ndoa za watu kwa kufanya deceptions kwa wake na ma binti za watu, kuna kipindi naelewa kagame kufunga hizi huduma zinazojiibukia
Haha! Huna akili kweli wewe mke wa msoja. Nani kakuambia alikuwa mke wangu, nilikuwa na mtu pale na nilimkuta pale nilipo ona hiyo shida niamkuacha pia hapo. Wachungaji wengi wanawatumia wanawake hao. Usirudie kuni quote maana una kamasi kichwaniMkeo ndie mpumbavu na David ana ushawishi na nguvu kwa mkeo kukuzidi wewe,
Kumbe wajinga mmo humu
Kuna tatizo sana kwenye haya makanisa ya kiroho ingawa sio yote, mengine yanaharibu kabisa familia za watu na maisha ya watu. Kumekuwa na record hivi karibuni na visa vingi sana kutoka kwenye hizo huduma, kitengo kinachohusiana na hizi ambo seriakli kina complain kibaoDuh
Noma aisee
Sasa kuna ndoa bila wanawake, au unasupport dogo?Shida sio wanawake, shida ni Ndoa.
Ndoa ndo inafanya yote haya, wanawake wala hawana kosa
Kama dr anasema alifikishwa akiwa amefariki hao waliompeleka ni nani na walimtoa wapi?Wanasema ameuawa
Mbona wengine wanasema kakutwa na majeraha?Chanzo ni presha ya ghafla,
Jamanii Ndoa hizi, woiiiiiiiiih!!
RIP MC pilipili. π’π’ππView attachment 3502848
Ndio. Kwa maelezo.ya msemaji wa Familia, jamaa kapigwa na polisi na alikuwa na majeraha.Au Na huyu tumuweke kwenye list ya waliouawa 29 October ila yeye alivumilia siku kadhaa ndipo amekufa leo? π
Wewe ndie mwenye kamasi uliyechapiwa mke na wachungaji feki, mjinga mmojaHaha! Huna akili kweli wewe mke wa msoja. Nani kakuambia alikuwa mke wangu, nilikuwa na mtu pale na nilimkuta pale nilipo ona hiyo shida niamkuacha pia hapo. Wachungaji wengi wanawatumia wanawake hao. Usirudie kuni quote maana una kamasi kichwani
acha usnge basi, sikuchapiwa ila nilipo ona sign kadhaa kulinda heshima ya mwanamke na mie mwenyewe nikakaa pembeni sikutaka kuingia kwenye hiyo chaos .Wewe ndie mwenye kamasi uliyechapiwa mke na wachungaji feki, mjinga mmoja
Ni kweli baadhi ya makanisa nomaKuna tatizo sana kwenye haya makanisa ya kiroho ingawa sio yote, mengine yanaharibu kabisa familia za watu na maisha ya watu. Kumekuwa na record hivi karibuni na visa vingi sana kutoka kwenye hizo huduma, kitengo kinachohusiana na hizi ambo seriakli kina complain kibao
Yes, serikali soon ita deal nayo in hash way. Ila pia ni ishara nzuri ya uamsho katika ulimwengu wa roho maana giza na nuru lazima vitengane. Best mzima lakini ? Still kwa wala mbwa au bahariniNi kweli baadhi ya makanisa noma
Nimeshudia moja ?ndoa nyingi zimevunjika
Nimemsikia dada yake anasema hivyoMbona wengine wanasema kakutwa na majeraha?