πUmeongea kwa hisia sana umeniliza sana πππ haya mambo yanapande zote.
Ndio na siku ya ndoa bwana harusi alilia machozi ya furaha.Mwanamke mzuri sana huyo, n ilikuwa ndoa kabisa ya kanisani au?
Uza smart phoneWakuu wakati mnaendeelea kuchangia mada naomba mnirushie chochote nipate ata pesa ya kula Leo, 0754378083
Unataka na Mimi nielezee ya upande huo wenu? π€£ Tuiweke tu kiujumla ukipenda sana sehemu ambayo hujapendwa iwe me/ke hakuna Rangi utaacha kuonaπ
Wanawake mnazingua sana aisee
Ila fresh, nilipata funzo kubwa mno, sitopenda tena kiasi kile aisee mana ilikuwa bado kdg niwe chizi.
Mwanaume wa kwanza ulikuwepo?Ndio na siku ya ndoa bwana harusi alilia machozi ya furaha.
Pia Mc Pilipili ndo alikua mwanaume wa kwanza wa Nandy
Mwenyewe si ndo alisemaMwanaume wa kwanza ulikuwepo?
Mshkaji alichoka sana, nadhani lile tukio lilimletea trauma kubwa.JAmaa alimpenda sana yule dada, na yule mwanamke akalijua hilo alimnyosha sana mwamba hadi mitandaoni. Mtoto mdogo hivi presha za nini? Eti kulia hupunguza maumivu, huyu jamaa kuangusha chozi ilikuwa dk sifuri ila bado akapata presha.
Wengine hatumjui ndio naniTaarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.
Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.
Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.
View attachment 3502851
Source: Global TV Online
Nikionaga mtu anazungumzia ufreemason namuona kama vile hajitambui.Hivi ndiyo huyu alimtoa Mama yake Kafala ya u freemason? Au inakuwaje? Yaani kuna umbea niliwahi sikia kuwa mama yake alifariki enzi hizo ghafla
"He died like a dog" - Donald TrumpKumbe ni Mccmβ¦.
Bora kafa.
πππUlitaka afe akiwa na miaka mingapi?
Yah sahihi, ukipenda sehemu isiyo sahihi ni nusu ya kifoUnataka na Mimi nielezee ya upande huo wenu? π€£ Tuiweke tu kiujumla ukipenda sana sehemu ambayo hujapendwa iwe me/ke hakuna Rangi utaacha kuona
Vile jamii haidhamini mchango wa mwanaume. Ni vema kukawa na society ya kuinua men. Tunapitia alotHii kitu imeangamiza wanaume wengi sana. Nimemkumbuka yule kijana wa Mwakasege. Naye aliondoka sababu ya kupenda na kujitoa sana sehemu ambayo siyo sahihi. Mungu na Atusaidie wanaume ππΏ
Ah kama alilia kwa furaha bc huyu alinyooshwa sana huko nyuma na huyo mwanamke, hvy kufunga nae ndoa akaona kama vile amemuweza hvy hatoweza kutoka nje ya ndoa πNdio na siku ya ndoa bwana harusi alilia machozi ya furaha.
Pia Mc Pilipili ndo alikua mwanaume wa kwanza wa Nandy
Mmh ila wanawake sisi Mungu anatuona
Haya kabaki na watt wadogo hawana baba
Nonsense
Anatokea raia mwema kwa utani anakugusa bega, unaanguka unakufa.Ila kifoo! Mtu upo zako unacheka kumbe umebakisha dk 2 ufeπ
ππ€£π€£ Hujasema unamnukuuMwenyewe si ndo alisema
Kama hapa shuzi linamnukia mke wa Pilipili, kumbe siku zake zilifikaAnatokea raia mwema kwa utani anakugusa bega, unaanguka unakufa.
Tukio linatokea right on time.
Jamaa anaenda jela kimasihara kuwa ameua Kumbe tuu n mtu alikuwa kwenye dakika zake za jioooooooni π