GE2025 Mchekeshaji Miraji Supakilla (MKALIWENU) atia nia kugombea ubunge jimbo la kawe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili Taifa kuna siku litakuja kulipia gharama wa haya yanayoendelea.
 
Sasa Imagine Kuna watu mule bungeni Wala nisiwataje na mnawajua wameweza kuwa wabunge kwanini huyu nae asigombee?
 
huu ni ujumbe kwa viongozi wa juu

watu wamejilinganisha na viongozi na kuona wao wana nafuu kiakili ko bora wajitose tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…