Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
 
Watarudi?kwahiyo kuna kuhazimana watangazaji siku hizi mkuu?
Tena kwa washindani wako?
poor thinking capacity.
 
IPP(ITV/RADIO ONE/EATV/RADIO) pale pamewatoa watangazaji wengi sana ni kama chuo pale wakishabobea wanasepa zao kutafuta maisha sehemu nyingine na maisha yanaendelea fresh kabisa.
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Hio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?
 
E fm kama ni wajanja wamrudishe kicheko aka chalii ya marangu kidogo anaweza changamsha maana kuke clouds kaenda kupotea kabisa hasikiki tena marehemu ruge mjanja sana alienda kumficha akamuua kiushabiki
Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.

Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?

Mkuu hiyo ni kazi kama zilivyo nyingine hivyo hapo EARadio alienda kutengeneza experience so now muache na yeye a compete kwenye soko la ajira na kina Kitenge.

Watu wanaacha kazi serikalini itakuwa hapo IPP ambapo sasa hivi watu hawajui hatma zao za kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…