Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Ni kweli mkuu, marehemu Isack Gamba alipita pale, Regina Mwalekwa, Rose chitala na wengine wengi chimbuko lao ni pale
Masahihisho:

Regina Mwalekwa alitokea redio Tumaini ndio akaenda huko IPP.
 
Wasafi watafute vipaji ili kuleta ladha mpya na kuongeza wigo wa ajira
 
Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM

Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo

View attachment 1241544
Kwamba wasafi media kukabiliana na wengine nikuwachukua walopikwa. kuwapika wa kwao wanaona wanachelewa ....
Acha wawai tu!......
Hela kwel haishindwi lolote!
 
Kumchukua Millard ni sawa na timu ya wananchi kumsajili Virgril Van Dijik, hawezi kukubali kwa sababu yeye tu brand yake inakimbizana nao wasafi.
Hao waliosajiliwa hapo wote kuishi nje ya mishahara yao ni waoga.
Wasafi haku mikoani hatuipati kabisaaa
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Kwa hiyo mtu akikushika mkono akikusaidia ukapata kazi fulani then ukajifunzia kwake iyo kazi mpaka uka i master hairuhusiwi kuama etii???
 
Kumchukua Millard ni sawa na timu ya wananchi kumsajili Virgril Van Dijik, hawezi kukubali kwa sababu yeye tu brand yake inakimbizana nao wasafi.
Hao waliosajiliwa hapo wote kuishi nje ya mishahara yao ni waoga.
Acha masiala wewe brand ya wasafi unaweza kuifananisha na huyo millardayo ambaye anafahamita tz na Kenya tu wakati brand ya wasafi inafahamika duniani
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Mara nyingi nasikia ukitaka biashara yako kama iyo ikue na iwe nzuri zaidi unawachukua watu maarufu wenye majina unawaajiri
 
E fm kama ni wajanja wamrudishe kicheko aka chalii ya marangu kidogo anaweza changamsha maana kuke clouds kaenda kupotea kabisa hasikiki tena marehemu ruge mjanja sana alienda kumficha akamuua kiushabiki
Halafu aliondoka kwa mbwe mbwe sana na majigambo.
 
Hio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?
I agree....... Muhimu ni kuondoka kwa Heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…