Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

Nawashauri wasafi wamchukue Makonda pia. Juzi alikuwa anachambua magazeti pamoja na shilole leo kachambua kingwendu na Lulu elizabeti maiko naye yupo kwenye hilo kundi la makonda na wenzake kina shishi trump
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Bado unaishi kwenu inaonekana
 
Mkuu radio ya wasafi mwisho kusikika kongowe pugu kibamba na bunju
Kwenye hiyo Achana na Millard Ayo
Huyo kazungumzia brand ya wasafi sio radio ukizungumzia brand ya wasafi utagusa vitu vingi ikiwemo label ya wasafi niambie Kati ya label ya wasafi na huyo millardayo Nani anafahamika zaidi na ipi inaingiza hela nyingi?
 
Mkuu weka wasafi media na Millard Ayo Nani ana platform kubwa

Kumbuka unaongelea wasafi media sio Diamond
Hapo uwezi kumtoa diamond maana diamond ndio wasafi na wasafi ndio diamond na diamond ndio amezaa wasafi kwahiyo ni ngumu kutenganisha hivyo vitu vimili
 
Hio sababu ni dhaifu..mtu akikusaidia haimaanishi inatakiwa uwe kijakazi/mtumwa/mfanyakazi wake daima..Saidia sepa zako. Au wewe hujawahi kusaidiwa? Kama ndio je wote waliokusaidia kwa lolote upo nao karibu mno?
Ila watu wa aina kama ya kwako ndio mnamlaumu Harmonize kutoka Wasafi.
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Green pasture vs greener pasture only nomad pastoralists understand this
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
kama wachezaji tu, Timu inaweza kukulea tokea ukiwa mdogo lakini ukikuwa unahitaji maslahi zaidi,

Na kama walezi wako hawana au hawako tayar kukupa maslahi unayohitaji,

Kirohoo safi tu haina budi kuondoka,Ili ukatengeneze maisha mazuri mahali kwengine.
 
Hapo uwezi kumtoa diamond maana diamond ndio wasafi na wasafi ndio diamond na diamond ndio amezaa wasafi kwahiyo ni ngumu kutenganisha hivyo vitu vimili
Basi tuweke ayo tv na wasafi tv mpambano uanzie apo
 
Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
penda kazi usipende ofisi
 
Huyo kazungumzia brand ya wasafi sio radio ukizungumzia brand ya wasafi utagusa vitu vingi ikiwemo label ya wasafi niambie Kati ya label ya wasafi na huyo millardayo Nani anafahamika zaidi na ipi inaingiza hela nyingi?
Nilichomaanisha WASAFI FM hawana ubavu wa kumsajili millard ayo kabisa, millard ayo kama brand inakimbizana na wasafi fm, halafu wamsajili! Wanaweza kuwasajili hao waoga wa maisha tu ambao hawawezi kujiajiri.
Nakwambia Wasafi FM wakimsajili millard nipigwe ban ya maisha hapa JF.
 
Huyo kazungumzia brand ya wasafi sio radio ukizungumzia brand ya wasafi utagusa vitu vingi ikiwemo label ya wasafi niambie Kati ya label ya wasafi na huyo millardayo Nani anafahamika zaidi na ipi inaingiza hela nyingi?
Hapo kaongelea Millard Ayo na Hao waliosajiliwa mkuu
 
Tatizo lako unajisahau yeye amesema wasafi hawawezi kumsajili millardayo ndo nikamjibu hivyo, millardayo ameajiliwa na clouds Kama ameweza kuajiliwa na clouds wasafi wanashindwaje kumsajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…