E.A radio/Tv inazalisha vichwa tu. Sijui nani pale ndio mwenye macho ya kuvuta vipaji na kuvitengeneza ...Hakika leo Zembwela amehamia Wasafi lakini ma-boss wa IPP hawajatoka povu kama ilivyo E Fm kwa Sebo, ila siyo Majizzo.
Yaani East Africa Radio ina watangazaji wazuri mno; wakiondoka bado wanakuja wazuri. Kifupi hawatetereki kama milima ya Uluguru.
Kama yule King smash kacover vizuri sana nafasi ya sammisago kwenye enewz aiseeE.A radio/Tv inazalisha vichwa tu. Sijui nani pale ndio mwenye macho ya kuvuta vipaji na kuvitengeneza ...
Hahahaha UNACHEKESHA, hapo hamna cha kufanya namna..hapo ni PESA na maslahi mazuri yanaongea....kwani umeandikiwa utazeekea ipp media au East Africa radio..??!Mmmh.... huyu jamaa vipi tena?EARadio imemfanya amejua kutangaza licha ya yale mapungufu,halafu anahama ana Wasafi....?Au kuna namna hapa Wasafi wanafanya na baadhi yakampuni halafu watarudi?
Kwenye hizi media is more than basic salary! Uki-promise commission au bonus ya kutosha kutokana na matangazo wanayovutia, mtu anaweza kuacha hata BBC!!Wasafi TV na redio kuna kitu nyuma ya pazia, hakuna hela ya kufanya haya yote ukizingatia uchumi umeangka sana na sekta binafsi zimekufa, kilichotokea ni biashara fulani inafanywa ila media inakuwa kivuli, time will tell
Daa Rose Chitala nilikuwa namkubali sana,akiwepo Chombeza au Rafiki na sauti yake ilivyo tamu balaa,nilikuwa namsikiliza sana tangia miaka ya 2000 mpaka alivyoacha kazi IPP na kutumkia marekani.da namis sana rose chitala
Nikiripoti kutoka maraammm mimimmm ni jojiiii maratooooo wa aiiitivimmm ,Huyo jamaa si nasikia anakesi ya kula rushwa? Kama yupo lupango vile.wasafi wameamua. wamchukue na john Maratuu wa AITIVIIIIIIIII
KenedyTheRemedy na George Bantu walikuwa wanakimbiza sana kwenye the Cruize..lilikuwa bonge ya show,,ngoma kali tu za unyamwezini..IPP itakuwa inawalipa kidogo wafanyakazi wake ndio maana media zingine zikiwataka huwa rahisi kuwapata.
Tukianza na Millard Ayo, George Bantu, mamie, Dj sinyorita, Kennedy, zembwela, Sam misago, Dj Mafuvu nk....
Zembwela na Chumvi wanakwambia MKIA HAUTIKISI NG'OMBE.Nina muda mrefu sijasikiliza Radio... siku hiz social media ndo kila kitu... news zote zipo kule tena exclusive....
Nikiripoti kutoka maraammm mimimmm ni jojiiii maratooooo wa aiiitivimmm ,Huyo jamaa si nasikia anakesi ya kura rushwa? Kama yupo lupango vile.
Sam Misago kaishajiongeza, wale wanasheria kama shule ya seminari wale, wanapenda kumfunga mtu, George Bantu, Kennedy, Mammy, wametoka wamekuwa na majina makubwa, na hiyo misingi ndio ilimshinda hata MAFUVU AakasepaNamzungumzia sam Misago naona hata kwenye website yao wameshamtoa
alipita Clouds pia kwenye JahaziMasahihisho:
Regina Mwalekwa alitokea redio Tumaini ndio akaenda huko IPP.
Acha masiala wewe brand ya wasafi unaweza kuifananisha na huyo millardayo ambaye anafahamita tz na Kenya tu wakati brand ya wasafi inafahamika duniani
mmmh kisulisuliMtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM
Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo
View attachment 1241544
hujaona picha..?Bila picha huu uzi n batili
Yupo Ndichi Lupango Segedansi Nondo gereza.siku hizi simsikii kabisa mwamba
Dah..sisikilizi tena supermix