Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Wapenzi wa Comedian wa Teacher Mpamire na wasiyo mjua huyu mchekeshaji ni kiboko kwa kuchekesha Style anayo itumia kushekesha watu ni style nzuri sana
Kibritish chake kipo poa Sana, Kwanza hana swaga za kiboyaboya Kama wachekeshaji wengine wa kitanzania
Kama kuna member hapa anaweza kushare nasi mengi kuhusu teacher mpamire ashare nasi.