Ndio nashangaa watu wanamuanzishua uzi samatta kuwa hawateteiHuyu jamaa alikuwa hana time na siasa chafu za ccm
Amefikaje hapaNdio nashangaa watu wanamuanzishua uzi samatta kuwa hawatetei
Amefilaje hapa
Natumai utakuwa umepata muongozoMwamba hata ukiwngalia followers wake wengi sio wabongo
Wa nini mamaNatumai utakuwa umepata muongozo
Wa kushoboka na kila mbongo mitandaoni ShangaziWa nini mama
Sawa nasikia kuna jamaa kawaganya mchawa wa mbogamboga kuwa ndo anafanya vetting ya teuzi kawambandua vijana wote huko mbogambogaWa kushoboka na kila mbongo mitandaoni Shangazi
Kama vile mnavyoshoboka Upendo
View attachment 3512840
Ndiye nani huyo huko duniani? Sinaga muda wa kutazama makatuni ya Tiktok aiseee!