Mchekeshaji Zero Brainer, Mtanzania mwenye wafuasi wengi TikTok, ashinda Tuzo Afrika Kusini

Mchekeshaji Zero Brainer, Mtanzania mwenye wafuasi wengi TikTok, ashinda Tuzo Afrika Kusini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mchekeshaji na mtengeneza maudhui wa mitandaoni Mtanzania Zero Brainer ameshinda tuzo ya "Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024" katika tuzo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2025 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Soma: Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer anayeoongoza kwa followers wengi Tiktok amewakosea nini? Kwanini hamumzingatii?

Baada ya ushindi huu, Zero Brainer anaweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo hiyo.

Zero Brainer amejizolea umaarufu mkubwa hasa katika mtandao wa TikTok kutokana na aina ya maudhui yake ya michezo anayotengeneza na ndiye Mtanzania mwenye wafuatiliaji wengi zaidi katika mtandao huo akiwa na 'followers' Milioni 12.9.
 
Back
Top Bottom