Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 248
Hivi majuzi Serikali imetangaza kuruhusu wafanyabiashara kuingiza mchele kutoka nje tani elfu 90.
Rai yangu kwa wadau na wafanyabiashara wenzangu wa nafaka ni kupata connection ya wasambazaji rasmi wa mchele huo ili tuupate kwa bei rasmi ambayo haitakuwa na udalali.
NB: Nipo Mwanza, naomba ushirikiano wenu. Pia ni muhmu kwa wafanyabiashara wengine kuwafahamu wasambazaji rasmi kwa maeneo yao.