Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 248
Unahitaji huo mchele kiasi gani?Hivi majuzi Serikali imetangaza kuruhusu wafanyabiashara kuingiza mchele kutoka nje tani elfu 90.
Rai yangu kwa wadau na wafanyabiashara wenzangu wa nafaka ni kupata connection ya wasambazaji rasmi wa mchele huo ili tuupate kwa bei rasmi ambayo haitakuwa na udalali.
NB: Nipo Mwanza, naomba ushirikiano wenu. Pia ni muhmu kwa wafanyabiashara wengine kuwafahamu wasambazaji rasmi kwa maeneo yao.
Unauzwa bei gani??
Kuanzia tani 5
Mbona hakuna unafuu wowote na mchele wetu wa kienyeji!!Upo mbona kilo 3k na wafanyabiashara wanachanganya na mingine wapate faida