Mchele mzuri kabisa pamoja na mafuta ya kupikia ya alizeti yanapatikana

Nakuja hapo j5 nikute Mchele mzuri kama mdomo wako hapo imeisha hiyo
 
Karibuni sana wapendwa wangu, na ambao mmeendelea kutoa oda zenu Mungu awabariki sana..!
 
Wapendwa wangu karibuni sana, tusisahau ni kale ka msimu ketu pendwa ka sikukuu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…