Mhina Martin
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 209
- 263
Kwenye kiganja mbona kama umekatika sanaKaribu mchele bei ya jumla Tsh 1900/=
Korogwe Tanga Ndg uko wap nukutumieWapi huko mkuu, mie nimpenzi wa wali wa kutupwa!!!
Gred 1 aina ya mchele ni saro five inayonukia gharama ya usafiri ni Elfu sita kwa kila kiloba cha Kilo HamsinNaomba kujua usafiri hadi dar bei gani?na ni grade gani?
Unahitaji Kilo ngap NdgUsafiri hadi dar bei gani ?