Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga.
Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni chakula cha matajiri au kwa sherehe maalum.
Ni miaka 100 tu iliyopita kutokana na mapinduzi ya kilimo na ubora wa njia za usafirishaji, mchele umekuwa ni chakula cha kawaida.
Unapokula mchele upe heshima yake.