Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Tarime hatuli haya mavitu kama msosi mkuu tunakula wali wakati tukisubiria chakula kiive.Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga.
Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni chakula cha matajiri au kwa sherehe maalum.
Ni miaka 100 tu iliyopita kutokana na mapinduzi ya kilimo na ubora wa njia za usafirishaji, mchele umekuwa ni chakula cha kawaida.
Unapokula mchele upe heshima yake.
Sema kwa Dar sio tz, mikoani mingine mihogo hailiwi kama inavoliwa Dar, tofauti na mchele ambao kila mkoa utaukuta na si ajabu kwa bei zinazoshabihiana.kiporo cha wali huwa kinakuwaga kitamuuuu sanaa
..... kwa TZ mihogo (sio nafaka) ndo baba lao
Nazani kinacho changia ni ASIA kuwa na Population kubwa sana na ndo wanako lima kwa wingi Mpunga, China na India, Veitnam, Thailand na wengineo ASIA ni watumiaji wakuu wa Mchele na huko ndiko kuliko na population ya kutisha.Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga.
Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni chakula cha matajiri au kwa sherehe maalum.
Ni miaka 100 tu iliyopita kutokana na mapinduzi ya kilimo na ubora wa njia za usafirishaji, mchele umekuwa ni chakula cha kawaida.
Unapokula mchele upe heshima yake.
Zamani sana, sio kwa sasa, hii ilikuwa miaka ya 90 huko ila now kwenye sherehe naona Wali ndo mwingi kuliko Ugali,tarime hatuli haya mavitu kama msosi mkuu
tunakula wali wakati tukisubiria chakula kiive
Hahaahaahaa inamaana ndugu zetu kina muraa ubwabwa ni Kama bites tu halafu linapikwa Bondo Kama chakula Sasa!Zamani sana, sio kwa sasa, hii ilikuwa miaka ya 90 huko ila now kwenye sherehe naona Wali ndo mwingi kuliko Ugari,
Kutokana na uhamiaji, Ulaya ina raia wengi wenye asili ya China, Mashariki ya Kati na Mashariki ya Mbali. Ulaya ni watumiaji wakubwa wa mcheLe. Rice and Curry hupikwa hata Bungeni.Nazani kinacho changia ni ASIA kuwa na Population kubwa sana na ndo wanako lima kwa wingi Mpunga, China na India, Veitnam, Thailand na wengineo ASIA ni watumiaji wakuu wa Mchele na huko ndiko kuliko na population ya kutisha.
Ila Ulaya na Mashariki ya kati wanatumia sana Ngano,