Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Pole sana mkuu lakini acha iendelee kupanda ili siku tukienda kupiga kura tujue na kulinda pia na siyo kupiga na kwenda shambani au bar....ina sikitisha sana lakiniJamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?
Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana naitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!
Wakulima nao wameamua.
Jibu analo waziri wa kilimo, atuambie kazi yake nini na yuko wapi ndo maana Kikwete alimweka kuhakikisha watanzania wanakula na kushiba.
Ukekuwa mkulima wa mpunga hiyo bei ingekunufaisha na ungeifurahia.Je ungempongeza raisi(Kikwete) au ungewahurumia walaji wanaonunua?
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?
Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana anaitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!
mi natamani kilo ifike 10,000 na mshahara wa polisi usipande ili tunapolinda kura waelewe tunafanya nini na wasitupulize na maji ya kuwashawasha
mi natamani kilo ifike 10,000 na mshahara wa polisi usipande ili tunapolinda kura waelewe tunafanya nini na wasitupulize na maji ya kuwashawasha
Kumbe polisi ni kikwazo kikubwa sana cha demokrasia!!!! Mpaka wanaombewa njaa kiasi hiki!!!!!
Mbona huku kwetu Kigogo Luhanga bado tunanunua mchele Buku Jero tu.........................!
Au mwenzetu unakaa Mikocheni au Masaki nini........?