Ukijaribu kufikiria waziri a kilimo hana cha kufanya...hapa gharama za uzalishaji wa chakula kutokanana sera mbovu hasa ktk mambo ya mafuta. utakuta mkulima anatumia pembejeo zenye bei kubwa na vilevile husafirisha mazao yake kwa bei kubwa....hapo unategemea nn? kwa taarifa yako mkulima kule shambani bado ana hali ngumu kama hujui! pamoja na kuwa beo sokoni ni kuba lkn hali siyo nzuri kwa wakulima...Wakulima nao wameamua.
Jibu analo waziri wa kilimo, atuambie kazi yake nini na yuko wapi ndo maana Kikwete alimweka kuhakikisha watanzania wanakula na kushiba.
Inauma sana kuona kuna watu wanaweza kumudu magari yanayowafanya watumie laki kwa siku kununua mafuta, wengine tunafikiria bei ya mchele kufika 2700!
Haya matabaka ni iLeo hapa mimi na wewe tunaandika waraka huu, tukifika makazini kwetu tunategea majukumu na pengine hata kunyanyasa wateja na wahitaji huduma zetu, wengine tunakula rushwa na mali za uma hivi hivi kwa kisingizio nikiacha mungine atakula tu... Hili taifa lina matatizo mengi mno, siasa is just a tip of an iceberg.shara mbaya sana ya kutuparaganyisha. Yes tunataka mabadiliko, lakini nani wa kumuamini? Kila mtu kigeugeu...
Jamani mwenzenu, nimepatikana wiki hii.
Mchele jamani, ukitoa shilingi elfu kumi unapata kilo tatu tuu!!!!
Sasa hivi kilo moja sh 2700 hadi 3000!!!!!! .....nchii imefikaje mahali hapa tutawalishaje watoto wetu? ilhali vipato vyetu vifinyu?
Hivi tuna raisi kweli? anajua mambo haya?.....au anadanganywa? taarifa sahihi za maisha haambiwi na wasaidizi wake?
Hivi matatizo yetu watanzania inamaana hayamhusu raisi wetu??.............
..............ndiyo maana anaitwa kichwa cha nanihii, kwa kufumbia macho matatizo ya wananchi!

Ukekuwa mkulima wa mpunga hiyo bei ingekunufaisha na ungeifurahia.Je ungempongeza raisi(Kikwete) au ungewahurumia walaji wanaonunua?
Yaani jana niikuwa Sinza Makaburini karibu na maduka ya nafaka dada mmoja akashuka kwenye gari akaulizia bei ya mchele akaambiwa kilo 2800 alirudi nyuma huku akisema hiyo siwezi ku-afford. Yaani maisha yamekuwa magumu hadi dagaa na maharage nayo yamekuwa anasa.
Ukekuwa mkulima wa mpunga hiyo bei ingekunufaisha na ungeifurahia.Je ungempongeza raisi(Kikwete) au ungewahurumia walaji wanaonunua?