Environmental Security
Senior Member
- May 21, 2020
- 181
- 261
Sijakupata vema mkuu..Unakopesha nikuuzie
Nakuja pmSijakupata vema mkuu..
Ili nijibu kwa kadiri ulivyomaanisha
Karibu sana bossNakuja pm
angalia usije ukapigwa mkuu mjini shuleKaribu sana boss
Usimtishe wenzio.angalia usije ukapigwa mkuu mjini shule
Namba za cm kiongozNauza mchele nipo Mbeya
1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji
2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea
3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana
4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu
Karibuni sana
View attachment 1881358
View attachment 1881360
View attachment 1881362