DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
So huko hakuna njaa Mbeya sio?Hapa uyole ni 1,800/=
Sijawahi kusikia Mbeya, Njombe, Songwe, Rukwa na Katavi kuna njaa.So huko hakuna njaa Mbeya sio?
Hongereni wakuu...huku kwangu mchele mzuri ni 3,200Hapa uyole ni 1,800/=
Huo ni mchele uliojaa chenga, grade 1 ni 3300Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndo naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia.
Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli.
Poa mkuu toa kitu cha ubwabwa mixer harage la nazi.Gheto langu sio kwa ajili ya uchafu
Nchi gani hiyo uko?Huku kwetu ni 3400