Mchele unapogeuka pumba................

acha kudeka shossi

Samahani bonge nyanya hakuna adekae
Kama ni kudeka wewe ndio udekae
Si unajua Bonge nyanya unavyonywa?
Kwenye kachumbari unatiwa halafu unaliwa
Kwenye mchuzi unahisa kunogesha ubwabwa
Bonge nyanya unatumika na kila mtu unafurahiwa
Unapomenywa hutulia tuli kama unakafiniwa

Hakuna adekae Bonge nyanya nakuwambia
 
mambo ya uswahilini (kushushuana) siyawezi ila umaarufu (attention) haitafutwi kwa kudekadeka na kulalamika.
 
mambo ya uswahilini (kushushuana) siyawezi ila umaarufu (attention) haitafutwi kwa kudekadeka na kulalamika.

Bonge nyanya si mswahili anautangaza uzungu
Ameshindwa kwenye hoja haiwezi mizungu
Amerukia kutoa hukumu kama yeye ni Mungu
Bonge nyanya vipi unaikana asili ndugu???

Au unatumia mkorogo uswahili unauona gundu?
Usihamaki rafiki kiswahili chataka utundu
Ndio maana umejiingiza sasa natoboa matundu

Bonge nyanya ujikoni wanguja kumenywa
Mida ya lanchi imefika ngoja na bizari utiwe
.................................................................

Samahani sikujua kama wewe ni mzungu pori na si mswahili....... hakuna adekae kijana haya ni mashairi tu wala hayachomi na hayana mapembbe.

Shusha mistari miwili basi......:wink2:
 
una mashairi mazuri ushauri yapereke TBC taifa katika kipind cha washairi wetu
 
Sawa dada yangu Michelle nimekusikia................... I can read between the lines its you with another ID............

Your intelligence is my common sense.
 
Sawa dada yangu Michelle nimekusikia................... I can read between the lines its you with another ID............

Your intelligence is my common sense.

Bado tuuuu Shossi nini lakini wewe?? Pole sana achana na mambo ya keyboard haya yatakuhangaisha bureeeeeeeee
 
Bado tuuuu Shossi nini lakini wewe?? Pole sana achana na mambo ya keyboard haya yatakuhangaisha bureeeeeeeee

Yaani mtu anatumia ID yake nyingine watu wengine bwana anyway nakusikiliza wewe mpenzi shukran for your concern.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…