Mchele wa Mbeya unaouzwa na kampuni ya Korie ni utapeli mtupu

Mchele wa Mbeya unaouzwa na kampuni ya Korie ni utapeli mtupu

Benno Bongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
620
Reaction score
704
Kuna mchele unauzwa na kampuni ya Korie wanaita mchele wa mbeya upo kwenye package ya 5kg, huu mchele ni utapeli mtupu wamepack mchele wa kitumbo halafu wanaubrand kama mchele wa mbeya ili wauze bei juu.
 
IMG_20240624_144102_269.jpg
 
Halafu sio kila mchele wa Mbeya ni mzuri asee kuna mwingine wa kawaida sana.

Cc Smart911
Kuna wafanyabiashara wengi wanachukua mchele wa sehemu zingine kama Sumbawanga na Ifakara na kuuleta Mbeya.

Kwa hiyo mnunuzi akinunulia Mbeya anafikiri ni mchele wa Mbeya kumbe magumash tu

Ila mchele wa Mbeya ni mzuri na mtamu
 
Maduka ya mangu hamyajui au uzungu mwingi mnaangalia packaging huko masuper markets??

Kwa mangi unaangalia kabisa huu sio huu wenyewe, ila huo wa kwenye vibegi kulizwa ni dakika 0.
Na kutafuna punje unaweza.
 
Kuna wafanyabiashara wengi wanachukua mchele wa sehemu zingine kama Sumbawanga na Ifakara na kuuleta Mbeya.

Kwa hiyo mnunuzi akinunulia Mbeya anafikiri ni mchele wa Mbeya kumbe magumash tu

Ila mchele wa Mbeya ni mzuri na mtamu
Yeah!

Cc Smart911
 
Msaada tutani. Mchele wa kitumbo ndo mchele gani. Am serious
Huu mchele ulikuwa maarufu sana enzi za maisha magumu kipindi cha Nyerere 1980-85 na kidogo kipindi cha Mwinyi 1990

Mchele wa Kitumbo ulikuwa unaagizwa kutoka nnchi za Asia kama Japan na Indonesia. Ni mnene kuliko pune zetu za Tanzania lakini hauna ladha. Hata mwanamke wa Ki Tanga aweke manjonjo gani hausikii cha nazi wala mawese
 
Back
Top Bottom