Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Mtamu, unanukia na kuchambukaMchele wa Mbeya ukoje?
Kwa hiyo unataka uifungulie kesi kampuni ya Murzah Wilmar Rice Millers LTD?Mtamu, unanukia na kuchambuka
Nawatahadharisha walaji wengine wasije wakaingia mkengeKwa hiyo unataka uifungulie kesi kampuni ya Murzah Wilmar Rice Millers LTD?
Mwarabu kakulisha kitumbo sio?Nawatahadharisha walaji wengine wasije wakaingia mkenge
Kuna wafanyabiashara wengi wanachukua mchele wa sehemu zingine kama Sumbawanga na Ifakara na kuuleta Mbeya.
Na kutafuna punje unaweza.Maduka ya mangu hamyajui au uzungu mwingi mnaangalia packaging huko masuper markets??
Kwa mangi unaangalia kabisa huu sio huu wenyewe, ila huo wa kwenye vibegi kulizwa ni dakika 0.
Kabisa mkuu, lazima utupie punje mbili tatu na kuunusa unaweza.Na kutafuna punje unaweza.
Huu mchele ulikuwa maarufu sana enzi za maisha magumu kipindi cha Nyerere 1980-85 na kidogo kipindi cha Mwinyi 1990Msaada tutani. Mchele wa kitumbo ndo mchele gani. Am serious