Mchengerwa aagiza uchunguzi mashine iliyoharibiwa kwa uzembe ( MOI)

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti kuhusu mashine iliyoharibiwa kwa uzembe wa baadhi ya watumishi wa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Your browser is not able to display this video.
 
Aunde tume ya kuchunguza uharibifu wa mashine
 
uchunguzi na watu wapo kazini! inatakiwa wanaoshukiwa wote wakae pembeni kwanza.
 
Bi kidawa aunde tume ya wana siasa na mafundi wa veta wakafanye uchunguzi.

Walete majibu baada ya mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…