Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi kesho (Novemba 28, 2024) kwenye kata moja Ruaha ambako kulikuwa na changamoto kubwa upande wa karatasi za kupigia.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Na kule ambako kulikuwa na changamoto ndogo ndogo waliongezewa muda baada ya kumaliza saa 10, muda ulisogezwa mbele kidogo.