johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huo ni ushauri kwenu CHADEMA tumieni Mbinu za kisayansi vinginevyo tutawasahau soon
Mlale Unono 😀
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa na mbunge wa Rufiji akiwa kwenye viwanja vya Ujamaa wilayani Rufiji kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Ccm katika wilaya hiyo kwa kipindi cha miaka 4.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa amempongeza Rais Samia kwa kufanya maendeleo katika wilaya hiyo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu, ujenzi wa soko la kisasa litakalochochea uchumi wa wananchi.
Mchengerwa amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Rufiji katika mkutano wa hadhara ambao ulijikita kuelezea mafanikio na kazi za maendeleo zilizofanywa katika uongozi wake.
Mlale Unono 😀
---
Mchengerwa amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Rufiji katika mkutano wa hadhara ambao ulijikita kuelezea mafanikio na kazi za maendeleo zilizofanywa katika uongozi wake.