Huo ni ushauri kwenu CHADEMA tumieni Mbinu za kisayansi vinginevyo tutawasahau soon
Mlale Unono π
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa na mbunge wa Rufiji akiwa kwenye viwanja vya Ujamaa wilayani Rufiji kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Ccm katika wilaya hiyo kwa kipindi cha miaka 4.
Your browser is not able to display this video.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa amempongeza Rais Samia kwa kufanya maendeleo katika wilaya hiyo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu, ujenzi wa soko la kisasa litakalochochea uchumi wa wananchi.
Mchengerwa amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Rufiji katika mkutano wa hadhara ambao ulijikita kuelezea mafanikio na kazi za maendeleo zilizofanywa katika uongozi wake.
Hao wakupelekwa na malori! Mchengerwa ni kiongozi hivyo sio kila anayekusanyika kwenye mkutano wake ni mwanaccm!! Wengine wanapelekwa kwa lazima na wengine wanaenda kusikiliza majibu ya matatizo yao! Hivyi mchengerwa ukiuondoa uwaziri na ubunge anaweza kujaza uwanja kweli???? Sidhani kwa hiyo level ya tundu lisu bado ipo juu sana ukilinganisha na kiongozi yoyote hapa Tanzania
Mmesomba watu kutoka mikoa jirani waje kujaza uwanja.
Hamna akili, kujaza uwanja kwa watu ambao hata hawajaja kusikiliza unaongea nini kuna faida gani? Walio enda kumsikiliza Tundu Lissu wameenda kwa hiari yao, hawajafuata burudani wala posho.
Taarifa ilipaswa isomeke hivi;
Mwanamuziki Diamond atatumbuiza huko Ikwiriri Rufiji BURE na katika show hiyo Waziri Mchengelwa (Mb) naye pia atahudhuria.
Usikose.
Hao wakupelekwa na malori! Mchengerwa ni kiongozi hivyo sio kila anayekusanyika kwenye mkutano wake ni mwanaccm!! Wengine wanapelekwa kwa lazima na wengine wanaenda kusikiliza majibu ya matatizo yao! Hivyi mchengerwa ukiuondoa uwaziri na ubunge anaweza kujaza uwanja kweli???? Sidhani kwa hiyo level ya tundu lisu bado ipo juu sana ukilinganisha na kiongozi yoyote hapa Tanzania
Unakumbuka kipindi kile watu wanachukuliwa na ma fuso ili kujaza viwanja, au kipindi kile ulikua uko kwa mzee wa Ubwabwa?
Unaoneka huna muda mrefu tangu ujiunge na ccm.
Tena nimekumbuka, isije ikawa wewe Ni yule muchungachi feki tuliyemtoa jalalani.
Hao wakupelekwa na malori! Mchengerwa ni kiongozi hivyo sio kila anayekusanyika kwenye mkutano wake ni mwanaccm!! Wengine wanapelekwa kwa lazima na wengine wanaenda kusikiliza majibu ya matatizo yao! Hivyi mchengerwa ukiuondoa uwaziri na ubunge anaweza kujaza uwanja kweli???? Sidhani kwa hiyo level ya tundu lisu bado ipo juu sana ukilinganisha na kiongozi yoyote hapa Tanzania
Joe una upuuzi mwingi sana,Lissu mikutano yake na ni ya kuelemisha watu na siyo tamasha kama hayo makusanyiko ya CCM yanayoshereheshwa na mashoga waliopakwa mafuta na Pdidy. Shame on you Joe !!!!!