LGE2024 Mchengerwa: Matokeo ya jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa kesho Novemba 28, 2024

LGE2024 Mchengerwa: Matokeo ya jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa kesho Novemba 28, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,


Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza lakini matokeo kiujumla yanatarajiwa kutolewa kesho Novemba 28, 2024.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Kuna siku wataikimbia hii nchi wakiwa uchi ni swala la mda tu, tuombe uzima
 
Nikajua ameufuta maana ni wizi wizi wizi wa kura kila mahali.
 
Wakuu,

View attachment 3163622

Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza lakini matokeo kiujumla yanatarajiwa kutolewa kesho Novemba 28, 2024
uchaguzi wa kihistoria imefanyika Tanzania.

Hongera sana ndugu waziri kwa maandalizi mazuri mno ya uchaguzi huu 🐒
 
Back
Top Bottom