Wakuu,
View attachment 3163622
Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza lakini matokeo kiujumla yanatarajiwa kutolewa kesho Novemba 28, 2024