Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
1,659
Reaction score
2,913
Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize.

Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell.?

Tujiuliza Rufiji ikiwa nyuma kwenye Kila nyanja ya kimaendeleo inahitaji tamasha la wana Dar es Salamu au uwekezaji, elimu na miundo mbinu bora,makazi bora uchumi bora na afya bora?
 
Kwani ni lini mchengerwa alikuwa na akili???
 
Back
Top Bottom