PreGE2025 Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Njia zote ziingizwe kwenye shindani badala ya monopoly, hao wenye mabasi ya blue wananyanyasa sana watu, waingiziwe mekundu na rangi zingine
Hili nimesema mara nyingi, ulaya wanatumia mabasi aina ya MAN ni chuma tupu sio haya maboksi ya Golden Dragon, yanakufa kila mahali kila wakati.

Kitu cha pili ni kuweka ratiba ya mabasi vituoni na online ikionesha mabasi gani yanapita wapi mda gani hii husaidia kupunguza kuchakaa na kuharibika kwa mabasi kwa kujaa sana maana abiria ataenda kituoni kupanda bus muda anaotaka.

Bado safari ni ndefu katika kuelewa namna mradi huu unavyoendeshwa huko nje ambako hakuna tickets za makaratasi.
 
Mbona kila siku wanasaini tu magari lakini magari yenyewe hakuna?!
 
Hayo yatakuwa ni makampuni yake na mama mkwe wake
 
Maneno mengi utendaji sifuri,haina tofauti na wale watu wanashindwaga kukiendesha kitu cha kwao wenyewe halafu unaanza kumsifia mpangaji anayekulipa kodi, wakati anatengeneza faida huu ni ujinga
Lione hili, hv kwanini hii nchi ni ya watu wa kulalamikia kila kitu, hawajui ht wanataka nn.
 
Ukiwajua itakusaidia nini, we jali ufanisi siyo sura wala jina
 
Kitu cha pili ni kuweka ratiba ya mabasi vituoni na online ikionesha mabasi gani yanapita wapi mda gani hii husaidia kupunguza kuchakaa na kuharibika kwa mabasi kwa kujaa sana maana abiria ataenda kituoni kupanda bus muda anaotaka.
Perfect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…