Mchengerwa Watumishi wa umma watakukumbuka daima

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Moja ya piga kubwa watumishi wa umma walilipata ni kuhamishwa kwa Waziri Mchengerwa kutoka Wizara ya ofisi ya Rais Menejoment ya utumishi wa umma na Utawara Bora kwenda Wizira ya Michezo. Mhe Mchengerwa hakutanguliza siasa Kwenye Wizara hii.

Badala yake akaletwa mhe Jenista Mhagama ambaye purely ni mwanasiasa Kila kitu kwake ni siasa.Mhe Mchengerwa Watumishi wa umma wanakulilia na kukumbuka sana.

Tazama Leo Kuna watumishi wameajilowa july-2022 ila mshahara wa mwezi wa Saba wamekosa kisa Maafisa utumishi wilayani wamechelewa kutuma taarifa wizarani haya wewe hukuyafumbia macho.
 
Ni hicho kiswahili chako eti ‘ kipi kimekukela’ badala ya ‘kimekukera’ na si ajabu wewe ni mtumishi wa umma. Hapo kiingereza si kingekuwa balaa!
Mimi hata kiswahili sikinui vzr ila ujumbe umefika
 
Kuhusu Jennista kweli kbs hakuna kitu mule ni kujikombakomba tu kwa wakubwa
 
Reactions: F4B
Mama wa uhakiki

Japo simfagilii huyo mchengerwa wako, lakini huwa najiuliza Mhagama anaweza vipi kuwa waziri kila awamu? Kweli nimeamini uchawi upo.
 
Japo simfagilii huyo mchengerwa wako, lakini huwa najiuliza Mhagama anaweza vipi kuwa waziri kila awamu? Kweli nimeamini uchawi upo.
Mkuu Mchengerwa alifanya kazi kubwa kwa siku chache alizo kaa wizarani
 
Ukweli alikuwa mkombozi wa watumishi japo mimi siyo mtumishi lakini alikuwa anaongea fact sn
 
Reactions: F4B
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…