Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

Pole mwamba,kama uliweza kufanya hivyo haamini kuwa kweli unamke na familia hapo nikama uliamia awe mke pili,hivyo mpangie nyumba yake na uendeelee kuenjoy.
 
Mbona kitu rahisi tu,we muache aje akutane na mkeo
 
Ilinitokea kama hiyo ila sikuwa na mke,nilienda kituoni nikarudi na difenda wakamchukua kesi ikaishia huko.

Na mm nilitaka kumshaur hivi.

Aende polisi. Aje na polisi wa kike na kiume.
Mbona anatoka tu mapema kabisa.
 
Uzinzi...mkeo anakujua anacheza na akili zako tu hapo. Ngoja akujazie watu huyo ndani....sipati picha hiyo aibu yake mtaani😛😛
 
Huna washikaji Vipande ??
Tafuta kama wa4 waeleze ishu Yako waje hapo home na kuijtambulisha kua wao ni maafisa wanatafuta mtuhumiwa ambae ni yeye (uyo mwanamke ) wammbebe kama alivo kusiwe na mjadala wakamtelekeze uko nje ya mji...
Wahuni kama hawa ukiwa nao ni issue ndogo sana hiyo..
 
Sikia we msenge fanya haraka nenda kituo cha polisi ongea na poti wawili washikishe 40k kila mmoja uwaelekeze waje kwako kufanya arrest mission, wakifika wawazoe nyote wewe na huyo malaya alafu mtaachiwa mbele kwa mbele........
 
Ukioa kuna Level Za Kuchepuka ila yako ya kumleta Ndani kwako kusafi ni mpya,Acha akatae
 
UPO HUMU MIAKA TISA HUJAJIFUNZA KITU!!!!!

EEEEH ukomekuchepuka na kumvunjia haswa mkeo heshima, kuleta mwanamke ndan mnapoishi.

leta mrejesho nitagi nikucheke zaidi

shameful husband.. natamani mkeo akuache kwa uchafu wako
 
Sikia we msenge fanya haraka nenda kituo cha polisi ongea na poti wawili washikishe 40k kila mmoja uwaelekeze waje kwako kufanya arrest mission, wakifika wawazoe nyote wewe na huyo malaya alafu mtaachiwa mbele kwa mbele........
anajua wanapoishi atarudi tu

na akimkosea zaidi aombe asiwe mbaya kuuiza familia yake.. huyo akome na iwe mfano kwenye wenye tabia za kutojiheshimu kama waume
 

na kuiba anaweza iba aende kusaka njia na hizo pichu etc akaharibu zaidi ndoa, familia. lazima ataiba nguo zao amkomee akiwa hajitambui now.
 
Ha ha ha

Subiri mke afike home, halafu wakutane,

Ni uhakika mmoja ataondoka tuu. Utabaki na mmoja.

Case solved.
 
HUYO MWANAMKE NI MPUMBAVU ANAMILIKI UBONGO KAMA WA SAMIA BUSHIRI
 
Hata mimi juzi tu wife alijichanganya kwenda kwao nikaingiza limchepuko hasimu lake paka na panya😂😂😂
akifahamu ndoa kwaheri, kaa ukijua ikusute umemfanyia mkeo dharau kubwa sana sana na haufahi kuwa mumewe. Wanawake jambo hili litamrudia tu one day kuwa tayari. akijua akakaa kimya ujue utakuwa cooked kwa namna hautaweza ifikiria maishani mwako. wewe ni mume tabia mbaya ya kichafu...👿
 
Nipe tenda nilete Grade Xcmg au Land Rover 109 Breakdown nije nimtoe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…