HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Maisha yana mambo mengi sana, nimeoa miaka kadhaa iliyopita.
Nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon.
Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yaani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimarangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara.
Huyo dada nimemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku aliponikubali amekuwa mwema sana, sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake.
Nimeamua kumpangia nyumba yaani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu.