Mchepuko amenipania

Mchepuko amenipania

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Wiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa

AD2DB8C8-DAA1-4250-99DE-F1E48F5273EF.jpeg
 
mkuu haya si mambo binafsi lakiniii? au unataka tuanze kukudharau na tuweke na maujinga yako hapaaa? ukiamua kupiga maujinga unayapiga alafu unakuwa kimmya hiyo ndo kuukuuu zaidi
 
Back
Top Bottom