Mchepuko umeshindwa masharti sijui nani atauweza!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Sharti la kwanza: tumekubaliana asivae zile nguo nyeusi zinazofunika usoni hadi miguuni kwakuwa yeye ni mzuri, hapo amekubali.

Sharti la pili: nikamwambia asiwe ananiombaomba pesa bali afanye hivyo mwisho wa mwezi tu. Hapo tumeshindwana, anataka muda wowote akihitaji zitoke. Nani atamweza?

Kweli naamini "no money, no honey".
 
Uchunguzi unaonyesha tabia hii ya kupigana mzinga ilikuwepo tu kutoka kwa dada zetu wengi ila takwimu zinaonyesha tabia hiyo imeshika kasi sana tangu JPM aingie madarakani...Ongezeko la kupigwa mizinga limeongezeka mara dufu na hii ni kwa sababu wale Ma -Sponsor wakubwa waliokuwa wakitumiwa kama ATM sasa hivi hawana kitu tena...So tuwe waungwana ukiwa na uwezo wa kutoa we toa tu..
 
sioni tabu kumpa mshiko kama naye anatoa engoleshe vizuri. ...nipe nkupe basi.
 
....loading....
 
kwan yeye alikupa mashart yapi ambayo wewe umeyafata?
 
Ukishindwa wenzako wanaweza, tulizana na mkeo mana Kama shida papuchi tu mbona anayo.
 
Kwani lazima uwe na mchepuko..km huna pesa Tulia na mkeo

au Kuna cha ziada unachopata kwa mchepuko
 
Tafuta jimama lenye Hela
 
Mpe sharti kila anapoomba fedha, aje kuzichukulia Lodge
Siku izi kaulimbiu hii naifanyia sana kazi una shida na pesa njoo uchukue lodje

ni hatari mzee vizinga vimezidi kupita maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…