Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mdada alipata danga, danga hili lilimtatfutia chumba, likaweka furniture na kodi ya mwaka alilipa.
Kwa kuogopa heshima take mjini meeting zote zilikuwa hotelini. Hakutaka shingo feni za nyumba ya kupanga.
Danga first born anakwenda uni September, huku bi dada ndiyo demands zimeongezeka. Mara mama anaumwa, baba anahitaji pesa ya kulimia.
Danga lilimuita dada hotelini na kumwambia uhusiano unakufa rasmi. Anamtakia kila la kheri katika maisha yake.
Habari hii ilikuwa kama kisu kwa bidada. Walipomlizaa kufanya yao dada alioga kwanza, danga lilikuwa linaongea business kwenye simu.
Danga lilipokwenda kuoga bidada alibeba nguo mpaka viatu vya danga. Mzee ametoka bafuni aliona ceiling board imekuwa floor.
Baadavya kuhifikiria ilibidi ampigie simu mke wake aje na nguo.
Waliyamalizia nyumbani