Mchepuko wa dogo simuelewi

Mchepuko wa dogo simuelewi

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu.

Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba mpango wangu ni kuoa wake watatu. Kuna siku ukaropoka eti nikitaka ongeza mke ye yupo tu, mi nikajidai kama sijamskia.

Sasa huwa ana rafiki zake, juzi kati nilimuona akiwa na rafiki wa kitusi, si mnajua tena wahangaza nikamwambia namtaka huyo rafiki yake awe mke wa pili so aniunganishie. Akasema poa nisijali kabisa, ajabu toka nimempa tender hiyo hata kunitafuta kumepungua na wala hamsumbui tena dogo kuhusu mimi kuonana nae.

Hii ni mara ya pili kwani kuna jiran yake mmoja naye nlimwambia namtaka akasema atahakikisha nampiga dushe, naye ilikuwa hivi hivi akapunguza kunitafuta wala kuniulizia kwa dogo.

Nilipoonyesha kupuuza jambo hilo ndiyo mazoea tena yakaanza. Kuna kipindi nilimwambia nitahama kikazi kwenda mkoa mwingine, akanambia lazma atakuja huko nitakakokuwa.

Sasa wakuu huyu mti kwa matukio hayo mnamuonaje, anawivu, ananitaka au namna gani?
 
Kama namuona ndugu yako akipiga chabo ghetto anaona mbunye ya bro wake ikimunyamunya. Na girl wake yupo ana pelekewa motrooooo.
 
Ko jamaaa we hujiwez kutongoza mpaka umtume shemej yako kabsa
 
Back
Top Bottom