Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Mwanamke awe na qumar tu.....heshima hata mbwa ukimfunza anakuwa nayo.ana heshima.....???
Afu saivi wanaona ka sifa vilee.Neno mchepuko limekua fasheini,wengine hata hawajaoa au kuwa na mwanamke wa kudumu ili apate sifa hata akinunua dadapoa anampa jina mchepuko aiseee
Maisha yenyewe mafupi haya acha achepuke as long as anapata alichokikosaAfu saivi wanaona ka sifa vilee.
Haoni anadanganywa, yeye anajua apendwa. Kuna kitu mrembo anavuna hapo
Anakosa kipi kwa mkewe!!! Kama ameona mapungufu ni swala la kurekebishana tuuMaisha yenyewe mafupi haya acha achepuke as long as anapata alichokikosa
Kama mzuri muoeHivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri chef,kunako sita kwa sita ndo dah si mchezo huyu manzi!!Dah!najiona kabisa nimekuwa mateka!!
Anakosa kipi kwa mkewe!!! Kama ameona mapungufu ni swala la kurekebishana tuu
si kila kitu ni cha kurekebishana mfano suala la kimaumbile, ucheshi ni vitu mtu anazaliwa navyo unaanzaje kurekebisha sasa nenda mwayaAnakosa kipi kwa mkewe!!! Kama ameona mapungufu ni swala la kurekebishana tuu
Dah!uko sahihi kabisa kunishauri hivyo mkuu,ila stress zilitaka kuniua nikaona cha kufia nini wkt dunia bado naipenda na watoto wazuri bado wapo tele ndo nikakamatia huyu manzi!kwa kifupi njia kuu ni shida imejaa kiburi,dharau,nimeshaongea nayo mara nyingi sana ili kuweka mambo sawa lkn naona nampigia mbuzi gitaa,its abt 5yrz now no changes hata kidogo,nimechoka naendelea na maisha on the otherside!!Embu Muogope Mungu acha michepuko rudi kwa mke wako pale ambapo unaona aendi sawa mrekebishe..