Mchepuo wa HGK unaweza kuja kusomea nini?

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
154
Habari za jioni wakuu ... Kuna huyu ndugu yangu anapenda kusoma comb ya HGK sasa msaada ninaohitaj ni kujua je anaweza kusomea kitu gan chuoni ambacho kitakuwa na ajira yenye malipo mazuri kwa ngazi ya degree au masters..

Asanteh
 
Hgk hapo zaidi zaidi ni "education" zaidi ya hapo ajiandae kusugua gaga kitaa.
 
Mwingine mwenye wazo tofaut tafadhali
 
nimesoma hyo comb na nimeweza kusoma masomo ya biashara km procurement and logistics mangmnt
 
Habari za jioni wakuu ... Kuna huyu ndugu yangu anapenda kusoma comb ya HGK sasa msaada ninaohitaj ni kujua je anaweza kusomea kitu gan chuoni ambacho kitakuwa na ajira yenye malipo mazuri kwa ngazi ya degree au masters..

Asanteh

Mkuu kwanza hongera kwa kufaulu.

Secondly, HGK ana nafasi za kusoma kozi hizi ambazo zina ajira kwa sasa, Education, Health System Management (Only in Mzumbe University), Logistics and Transport Management(Only in N.I.T)

Muhimu ni kuhakikisha unafaulu vizuri katika mtihani wako wa kidato cha VI ili kuweza kupata nafasi ya kuchaguliwa katika kozi hizo.
 
Asanteh mkuu
 
Back
Top Bottom