Habari za jioni wakuu ... Kuna huyu ndugu yangu anapenda kusoma comb ya HGK sasa msaada ninaohitaj ni kujua je anaweza kusomea kitu gan chuoni ambacho kitakuwa na ajira yenye malipo mazuri kwa ngazi ya degree au masters..
Asanteh
Mkuu kwanza hongera kwa kufaulu.
Secondly, HGK ana nafasi za kusoma kozi hizi ambazo zina ajira kwa sasa, Education, Health System Management (Only in Mzumbe University), Logistics and Transport Management(Only in N.I.T)
Muhimu ni kuhakikisha unafaulu vizuri katika mtihani wako wa kidato cha VI ili kuweza kupata nafasi ya kuchaguliwa katika kozi hizo.