Mcheza filamu Bongo Movies aingia katika kashfa nzito ya kuwadanganya wadada wa mikoani na kuwatumia

Mcheza filamu Bongo Movies aingia katika kashfa nzito ya kuwadanganya wadada wa mikoani na kuwatumia

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
rammy.jpg

Ubuyu Kutoka Insta Leo hii unamuhusu Mcheza Filamu Rammy. Page ya Mrekebisha Tabia wamemrusha na kufichua makubwa, Jisomee Mwenyewe Hapo chini:

============

"Jamani rammygalis hata wewe? Nilikupenda nilipoona ulivoigiza ile movie ya CHAUSIKU nkakuona bonge la mtanashati, kipaji kipo lkn hizi tabia unazofanya za kutongoza wasichana kupitia mitandao ya kijamii unawaambia utawapa nafasi ya uigizaji unawafanya halafu unaingia mtini zimenichefua sana!!!....wasichana wengine unawatoa hadi mikoani unawatelekeza hotelini ukishawafanya hawakuoni tena... Unabisha?

Haya sasa na yule dada mwingine mliyewasiliana kwa facebook ukamuita kutoka Mbeya akaja dar kwa lengo la kuigiza movie alipofika dar ukampangia hoteli maeneo ya Ubungo. Ulikaa nae siku hiyo moja tu akamfanya then hurudi tena pale hotelin yule dada kila alipokuwa anakupigia simu unamdanganya utaenda mwisho wa siku hukutokea wala hakukuona tena mpaka alipotafuta msaada wakurudi kwao na hotelin alikuwa anadaiwa Manager wa hotel ikabidi amsamehe tu deni lake la hotel.

This is HAPANA Rammy!!! Uache kabisa...na wengine mlio na tabia hizo chafu tutawapata tu ili iwe fundisho kwa wengine.

Pia wasichana nyie mnaniliza hadi basi why jaman!! Umvulie nguo mtu ili upate kazi...halafu unaambulia kulalwa na kazi hakuna. Hivi mnajua UKIMWI bado upo? Na mpaka sasa bado dawa haijapatikana?"

Source: Mrekebishatabia/Instagram
 
Meneja wa hotel naye alirekebisha mzigomtoka mbeya town! An write off deni..hatareeee
 
Umalaya tu na kawakomesha, kwa hiyo asingemkimbia asingesema? Wakati anakuja dar kutoka mbeya alituambia? Apeleke ....... zake uko! ila na huyo rammy ata afananii na hiyo tabia kwa kweli
 
Umalaya tu na kawakomesha, kwa hiyo asingemkimbia asingesema? Wakati anakuja dar kutoka mbeya alituambia? Apeleke nyege zake uko... ila na huyo rammy ata afananii na hiyo tabia kwa kweli

Sura yake ya upole....,
 
Sura yake ya upole....,

nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi,darasan watu wakifanya makosa tukagoma kutaja watu,mwalimu alikuwa anaangalia sura za upole wanakaa pembeni,mi sura yangu ya upole na handsome boy pia nilikuwa nawekwa pembeni naonekana sijafanya kosa,wale waliokaa kibandidu walikuwa wanakula mkong'ong'oto balah,wakat mwingine mi ndio nimefanya kosa,lakin nawekwa pemben mwalimu usema huyu hawez fanya kosa,amekaa mpole sana.

Hivyo tusiangalia sura kwenye kuamua mtu.Lipumba alitwambia tumemchagua rais sababu ni handsome,yeye kwa sababu ya ubandidu atukumchagua
 
hahaaaaa watu na sura zao........, nakumbuka zile picha zako
ulikujaga na mbwembwe wewe Money Stunna.. tufanyie throwback kidogo badi
 
Last edited by a moderator:
Wakome nao kuji rahisisha,ivi mtu anakwambia njoo unafunga safari bila kujali kama huyu ni mwanamme na atakua na mambo mengine kichwani,sasa wameshapata walokua wanalitaka ndio wanalalamika......
 
hayo ndo maigizo yenyewe na huko hotelini ndo location watulie tu waliwe...
 
Dah jamaa atakuwa kafaidi sana maana automatically wanawake Wa mbeya wana makalio makubwa
 
wakati nyie mnalalamika..kwa meneja wa hoteli ilikua Furaha,mpaka kasamehe deni?
 
Hiyo bonge sorry bunge sorry bongo muvi yenyewe ni tia maji tia maji alafu mtu unafunga safari kuwafuata, kweli jamii mnahitaji elimu ya kutambua sura za matapeli.

Ila nadhani hiyo bonge muvi wana kamati za nidhamu, wachunguze then wamshughulikie huyo tapeli sio tu kusubiri Aunty na Wema wakaonyeshe kofuli zao fiesta ndio mkurupuke.

Na huyo meneja naye ana utu...sipati picha alivyokuwa ana setoff hiyo account..."hawa bongo muvi stupid sana..itabidi tu nikusaidie dada yangu usidhalilike huku Dar..........sogeza mguu..rudi nyuma kidogo"
 
nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi,darasan watu wakifanya makosa tukagoma kutaja watu,mwalimu alikuwa anaangalia sura za upole wanakaa pembeni,mi sura yangu ya upole na handsome boy pia nilikuwa nawekwa pembeni naonekana sijafanya kosa,wale waliokaa kibandidu walikuwa wanakula mkong'ong'oto balah,wakat mwingine mi ndio nimefanya kosa,lakin nawekwa pemben mwalimu usema huyu hawez fanya kosa,amekaa mpole sana.

Hivyo tusiangalia sura kwenye kuamua mtu.Lipumba alitwambia tumemchagua rais sababu ni handsome,yeye kwa sababu ya ubandidu atukumchagua

kumbe we ni mwanaume? dah hali ni mbaya. ....wanaume halisi tunazidi kuisha kabisa
 
Back
Top Bottom